Mama hataki nende kwenye harusi ambayo baba anaongeza mke    

Swali: Baba yangu ataoa mwanamke na amenitaka niwepo. Kuwepo kwangu kutamkasirisha mama yangu na kumfanya ni mwenye huzuni na kulia nikihudhuria. Unaninasihi nini?

Jibu: Mkinaishe baba yako na umwambie kuwa una udhuru mama yako atakukasirikia. Mashahidi ni wengi. Achague mashahidi wengine mbali na wewe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-4-6.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020