Swali: Nilimnunulia mke wangu dhahabu. Wakati nilipohitajia kiwango cha pesa akaniuzia kwa ridhaa yake na nikatumia mali hiyo. Je, ni lazima kwangu kumrudishia wakati atakaponiomba hilo?
Jibu: Ikiwa ameikupa na akakuruhusu [kuitumia], sio wajibu kumrudishia. Ama ikiwa ameikupa kwa sharti umrudishie nayo [baadaye] au umrudishie kiwango badala yake, ni wajibu kumrudishie. Isipokuwa tu ikiwa kama atakusamehe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montqa14340202.mp3
- Imechapishwa: 19/09/2020
Swali: Nilimnunulia mke wangu dhahabu. Wakati nilipohitajia kiwango cha pesa akaniuzia kwa ridhaa yake na nikatumia mali hiyo. Je, ni lazima kwangu kumrudishia wakati atakaponiomba hilo?
Jibu: Ikiwa ameikupa na akakuruhusu [kuitumia], sio wajibu kumrudishia. Ama ikiwa ameikupa kwa sharti umrudishie nayo [baadaye] au umrudishie kiwango badala yake, ni wajibu kumrudishie. Isipokuwa tu ikiwa kama atakusamehe.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montqa14340202.mp3
Imechapishwa: 19/09/2020
https://firqatunnajia.com/mali-ya-mke-anayomuazima-mume-wake/