Majina ya kunasibisha kuwa ni mja wa Allaah au majina ya Mitume

Swali: Kuna kigezo gani jina kuhesabiwa kuwa ni kujitakasa na hivyo kutakiwa kubadilishwa?

Jibu: Mtu anatakiwa kuchagua majina mazuri na ajiite kwayo. Majina mazuri ni yale yanayomnasibisha mtu kuwa mja wa Allaah na majina ya Mitume yote ni mazuri. Msingi ni kusalimika isipokuwa yale majina yanayonasibisha kuwa mtu ni mja wa asiyekuwa Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23079/ما-ضابط-اختيار-الاسم-الطيب-دون-تزكية
  • Imechapishwa: 27/10/2023