Swali: Maiti anatakiwa kulazwa upande gani?

Jibu: Imependekezwa kulazwa upande wa mkono wake wa kulia. Ni wajibu kumlaza hali ya kuelekea Ka´bah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Ka´bah ndio Qiblah chenu waliohai na maiti.”[1]

[1] Abuu Daawuud (2875).

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/182)
  • Imechapishwa: 24/08/2021