Swali: Jamaa pekee ndiye anayetakiwa kumfungia?

Jibu: Wale ndugu wa karibu. Walii wake ni wale ndugu zake wa karibu. Lakini hapana vibaya akifungiwa na wengine. Hilo ni kwa njia ya mapendezo.

Swali: Ni kwa njia ya mapendezo?

Jibu: Kinachotambulika kwa wanazuoni ni kwamba ni kwa ajili ya mapendezo. Amesema (Jalla wa ´Alaa):

وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَىٰ

“Wala habebi mbebaji mzigo [wa dhambi] wa mtu mwengine.” (06:164)

Maoni ya karibu na usawa – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – ni kwa ajili ya kutilia nguvu na usuniwaji.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25154/هل-يجوز-الصوم-عن-الميت-من-وليه-وغيره
  • Imechapishwa: 08/02/2025