Madhehebu ya Hanaabilah juu ya ya Tasliym ya jeneza

Swali: Je, kumethibiti Hadiyth Swahiyh kuhusu swalah ya janaza ya kwamba salamu inakuwa upande wa kulia tu au inakuwa upande wa kulia na wa kushoto?

Jibu: Kinachotendewa kazi ni kwamba salamu inakuwa upande wa kulia. Hichi ndicho kinachotendewa kazi na madhehebu [Hanbaliyyah]. Tusitoke katika hili pasina hoja na dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-8-13.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2015