Baada ya Takbiyr ya nne katika swalah ya jeneza hakuna du´aa

Swali: Ni ipi hukumu ya kusema mwisho wa Takbiyr ya nne katika Swalah ya janaza “Allaahumma laa tahrimna ajrahu wa laa taftinnaa ba´dahu”?

Jibu: Takbiyr ya nne hakuna baada yake Du´aa. Baada yake kuna Salaam tu. Asiombe Du´aa baada yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-8-13.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2015