Madhara makubwa katika kumsema anayetangaza maovu

Swali: Vipi ikiwa kumsengenya mtenda dhambi kunapelekea katika madhara?

Jibu: Asifanye. Anasihiwe na asimsengenye. Lakini mwenye kutangaza maovu akiona kuwa kuna madhara akimsema asimzungumze. Muumini ni mwenye kuchunga manufaa na madhara. Si kushambulia peke yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23509/ما-الحكم-اذا-ترتب-على-غيبة-الفاسد-مفاسد
  • Imechapishwa: 03/02/2024