Machukizo ya kutamba kwa maji ya zamzam

Swali: Vipi kuhusu wale wanaochukizwa kutamba kwa majina ya zamzam?

Jibu: Hawana hoja isipokuwa ni kwa sababu ni maji matukufu na yaliyobarikiwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24682/هل-يكره-الاستنجاء-بماء-زمزم
  • Imechapishwa: 23/11/2024