Swali: Mapazia yasiyokuwa na haja yanayowekwa kwenye madirisha?
Jibu: Hapana vibaya kwenye madirisha. Hata hivyo hapana kwenye kuta. Kama alivosema:
“Ni tangu lini mmekuwa na Ka´bah?”
Lakini ikiwa mapazia yamewekwa madirishani ni sawa kama ambavo kunawekwa milangoni.
Swali: Pindi ´Aaishah alipoweka pazia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikaripia picha na hakukemea pazia yenyewe?
Jibu: Liliwekwa mlangoni. Haina neno kuweka pazia mlangoni na madirishani.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23866/حكم-الستاىر-على-الجدران-والنوافذ
- Imechapishwa: 23/05/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket