Swali: Je, inafaa kutupa chakula kisicholika kwenye takataka?
Jibu: Usikiweki katika mahali panapodharauliwa. Kiweke maeneo pasafi, ili ndege na paka waweze kukila. Kiweke mahali pasafi, ili ndege au wanyama wakile.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 25/05/2023