Kampuli za hisa zinawatolea wanahisa zakaah

Swali: Baadhi ya makampuni yanasema kuwa wanatoa zakaah za wanahisa wao. Je, zinatakasika dhimmah zako kwa jambo hilo?

Jibu: Ikiwa anawaamini, haina neno. Asipowaamini, atoe zakaah yeye mwenyewe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 25/05/2023