Swali: Yapi maoni yako kwa mwenye kushiriki katika maandamano dhidi ya mtawala ili astafidi?
Jibu: Maandamano siyo katika matendo ya waislamu, maandamano siyo katika matendo ya waislamu bali ni fitina. Hayajulikani ila katika miji ya ulaya na miji ya makafiri.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=LwImfU_BWRs
- Imechapishwa: 05/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)