Maandamano hayajulikani isipokuwa kwa makafiri

Swali: Yapi maoni yako kwa mwenye kushiriki katika maandamano dhidi ya mtawala ili astafidi?

Jibu: Maandamano siyo katika matendo ya waislamu, maandamano siyo katika matendo ya waislamu bali ni fitina. Hayajulikani ila katika miji ya ulaya na miji ya makafiri.