Swali: Je, kuna msingi wa maneno ya anayesema kuwa ngazi ya juu (الدرجة الرفيعة) ni yeye (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuketi na Allaah juu ya ´Arshi Yake[1]?

Jibu: Kuna Hadiyth juu ya hilo. Lakini kuna neno katika cheni yake ya wapokezi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifasiri kuwa maana yake ni Nyumba Peponi.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/13-mtume-juu-ya-arshi/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23696/ما-الدرجة-الرفيعة-المذكورة-في-الدعاء
  • Imechapishwa: 05/04/2024