Swali: Nini maana ya:
”Shari haitoki Kwako”?
Jibu: Maana yake ni kwamba mtu hajikurubishi nayo Kwake na wala hainasibishwi Kwake, kwa sababu ana hekima kubwa katika anavyoviumba. Kwa hiyo ni kheri kwa nisba Yake ingawa itaonekana ni shari kwa nisba ya viumbe. Mfano wa hayo ni kukadiria uzinzi na madhambi mengine yanayotokea ambayo yanafanywa kutokana na hekima ya Allaah ambayo anatakiwa kushukuriwa nayo. Anayo hekima kubwa. Lakini mja anasemwa vibaya pale anapoyafanya kwa sababu ni maasi kwa nisba yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25128/ما-معنى-والشر-ليس-اليك-في-الحديث
- Imechapishwa: 05/02/2025
Swali: Nini maana ya:
”Shari haitoki Kwako”?
Jibu: Maana yake ni kwamba mtu hajikurubishi nayo Kwake na wala hainasibishwi Kwake, kwa sababu ana hekima kubwa katika anavyoviumba. Kwa hiyo ni kheri kwa nisba Yake ingawa itaonekana ni shari kwa nisba ya viumbe. Mfano wa hayo ni kukadiria uzinzi na madhambi mengine yanayotokea ambayo yanafanywa kutokana na hekima ya Allaah ambayo anatakiwa kushukuriwa nayo. Anayo hekima kubwa. Lakini mja anasemwa vibaya pale anapoyafanya kwa sababu ni maasi kwa nisba yake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25128/ما-معنى-والشر-ليس-اليك-في-الحديث
Imechapishwa: 05/02/2025
https://firqatunnajia.com/maana-ya-kwamba-shari-haitoki-kwa-allaah/