Maana ya kuyadhibiti majina ya Allaah

Swali: Imekuja katika Hadiyth iliotaja majina mazuri mno ya Allaah kwamba:

“Yule atakayeyadhibiti [majina haya] ataingia Peponi.”

Nini maana ya kuyadhibiti majina haya?

Jibu: Maana ya kudhibiti ajue maana yake, amwabudu Allaah kwayo na amuombe kwayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (99) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-10-07-1440%D9%87%D9%80_0.mp3
  • Imechapishwa: 16/08/2020