Maana ya kulingana (استواء) katika lugha ni kuwa juu. Amesema (Jalla wa ´Alaa):

فَإِذَا اسْتَوَيْتَ أَنتَ وَمَن مَّعَكَ عَلَى الْفُلْكِ فَقُلِ الْحَمْدُ لِلَّـهِ الَّذِي نَجَّانَا مِنَ الْقَوْمِ الظَّالِمِينَ

“Basi utakaposawazika wewe na wale walio pamoja nawe jahazini, sema: “Sifa njema na shukurani zote ni za Allaah ambaye ametuokoa kutokana na watu madhalimu.”” (23:28)

Bi maana mtapokuwa juu ya jahazi.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Lum´at-il-I´tiqaad, uk. 72
  • Imechapishwa: 28/08/2020