Swali: Mimi ni imamu wa msikiti na maamuma msikitini wameniomba niwasomee historia ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) Jumatatu inayokuja tarehe 12 Rabiy´ al-Awwal.
Jibu: Hapana, usifanye hivo. Usifanye hivo kabisa siku ya jumatatu. Wanataka ufanye hivo kwa sababu ni siku ya Jumatatu ambayo imeafikiana na tarehe 12 Rabiy´ al-Awwal ambapo kunafanywa Bid´ah. Usiwasomee na wala usiwaitikie ombi lao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (10) http://alfawzan.af.org.sa/node/2125
- Imechapishwa: 05/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket