Swali: Kama mtu anataka kukaa I´tikaaf msikitini katika zile siku kumi zote za mwisho za Ramadhaan – ni lini ataanza kuingia msikitini? Ni lini inamalizika I´tikaaf yake?
Jibu: al-Bukhaariy na Muslim (Rahimahumu Allaah) wamepokea kupitia kwa ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ambaye ameeleza:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anapotaka kukaa I´tikaaf basi anaswali Fajr kisha anaingia ndani ya I´tikaaf yake.”
Muda wa I´tikaaf yake zile siku kumi za mwisho za Ramadhaan inamalizika kwa kuzama kwa jua ile siku yake ya mwisho.
´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy
´Abdullaah bin Qu´uud
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.alifta.gov.sa/Ar/IftaContents/Pages/FatawaBySubjects.aspx?cultStr=ar&View=Page&HajjEntryID=0&HajjEntryName=&RamadanEntryID=0&RamadanEntryName=&NodeID=1396&PageID=3802&SectionID=3&SubjectPageTitlesID=25234&MarkIndex=1&0#%d8%a5%d8%b0%d8%a7%d8%a3%d8%b1%d8%a7%d8%af%d8%b4%d8%ae%d8%b5%d8%a3%d9%86%d9%8a%d8%b9%d8%aa%d9%83%d9%81%d9%81%d9%8a%d8%a7%d9%84%d8%b9%d8%b4%d8%b1
- Imechapishwa: 23/04/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
03. Kipindi na wakati wa I´tikaaf
Suala la tatu: Kipindi cha I´tikaaf, mapendekezo yake na yanayoruhusu kwa anayefanya I´tikaaf 1- Kipindi cha I´tikaaf na wakati wake Ni nguzo ya I´tikaaf kubaki msikitini kwa kiwango cha muda fulani. Kusipotokea kitendo cha kubaki na kukaaa msikitini basi I´tikaaf inakuwa haijafungika. Wanachuoni wametofautiana kuhusu uchache wa muda wa I´tikaaf.…
In "Mlango kuhusu I´tikaaf kutoka katika "Fiqh-ul-Muyassaar""
06. Maeneo pa I´tikaaf, wakati wake na hukumu ya kuikata
Swali: Ni ipi hukumu mwanaume na mwanamke kufanya I´tikaaf? Je, I´tikaaf imeshurutisha mtu kufunga? Mwenye kufanya I´tikaaf ajishughulishe na nini? Mwenye kufanya I´tikaaf aanze lini na amalize lini? Jibu: Kufanya I´tikaaf ni Sunnah kwa wanaume na wanawake. Kutokana na yale yaliyothibiti ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifanya…
In "Baadhi ya mambo ya kufanya Ramadhaan"
28. Ni ipi hukumu mwanaume na mwanamke kufanya I´tikaaf?
Swali 28: Ni ipi hukumu mwanaume na mwanamke kufanya I´tikaaf? Je, I´tikaaf imeshurutisha mtu kufunga? Mwenye kufanya I´tikaaf ajishughulishe na nini? Mwenye kufanya I´tikaaf aanze lini na amalize lini? Jibu: Kufanya I´tikaaf ni Sunnah kwa wanaume na wanawake. Kutokana na yale yaliyothibiti ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)…
In "I´tikaaf"