Swali: Kuna ambao wanakurekodi mawaidha kwa camera ya simu wakati ambapo unatoa darsa. Je, unawapa idhini ya kuzihifadhi?

Jibu: Lau nitampa idhini Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hatompa idhini. Isitoshe haijuzu kuchukua picha Msikitini. Misikitini hakuchukuliwi picha. Haijuzu hata kuchukua picha nje ya misikiti. Tusemeje kwenye misikiti? Ni juu ya mtu huyo kumcha Allaah (´Azza wa Jall) na ajiepushe na picha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-4-6.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020