Swali: Tunaweza kutumia hoja tofauti ikiwa tayari kuna dalili katika masuala?

Jibu: Ni upotevu. Kuacha dalili na kufuata maoni ya fulani ni upotevu wa wazi. Ikiwa unajua dalili basi unachotakiwa ni kushikamana nayo. Haijalishi kitu yeyote yule mwenye kusema kinyume. Tumeamrishwa kufuata dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir-ayat-qrran-19-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 20/06/2020