Swali: Baadhi ya vijana wanaenda vijiweni ili kuwanasihi wenye kukaa huko kwa kutumia heshima na upole na wanasema ya kwamba mfano wa vijana kama hawa hawaji kwenye mihadhara, hivyo basi sisi ndio tunaotakiwa kuwaendea. Ni yapi maoni yako juu ya hili?
Jibu: Hili ni jambo zuri. Allaah amjaze kheri [mwenye kufanya hivo]. Yule anayeenda vijiweni na kuamrisha mema na kukataza maovu na kuwapa nasaha, huyu ni katika watengenezaji. Allaah amjaze kheri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%201-10-08-1433.mp3
- Imechapishwa: 16/06/2015
Swali: Baadhi ya vijana wanaenda vijiweni ili kuwanasihi wenye kukaa huko kwa kutumia heshima na upole na wanasema ya kwamba mfano wa vijana kama hawa hawaji kwenye mihadhara, hivyo basi sisi ndio tunaotakiwa kuwaendea. Ni yapi maoni yako juu ya hili?
Jibu: Hili ni jambo zuri. Allaah amjaze kheri [mwenye kufanya hivo]. Yule anayeenda vijiweni na kuamrisha mema na kukataza maovu na kuwapa nasaha, huyu ni katika watengenezaji. Allaah amjaze kheri.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%201-10-08-1433.mp3
Imechapishwa: 16/06/2015
https://firqatunnajia.com/kwenda-vijiweni-kufikisha-dawah/