Swali: Je, inajuzu kwenda katika sherehe ya ndoa ambapo kutaimbwa mashairi?
Jibu: Ikiwa kwenye sherehe hii kutaimbwa mashairi ya nyimbo na muziki, haya ni maovu na haijuzu. Usiende. Wakataze na wakiacha ni sawa. La sivyo usiende. Utakuwa ni mwenye kukubaliana na wao juu ya hili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-20.mp3
- Imechapishwa: 19/04/2015
Swali: Je, inajuzu kwenda katika sherehe ya ndoa ambapo kutaimbwa mashairi?
Jibu: Ikiwa kwenye sherehe hii kutaimbwa mashairi ya nyimbo na muziki, haya ni maovu na haijuzu. Usiende. Wakataze na wakiacha ni sawa. La sivyo usiende. Utakuwa ni mwenye kukubaliana na wao juu ya hili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-20.mp3
Imechapishwa: 19/04/2015
https://firqatunnajia.com/kwenda-kwenye-harusi-za-nyimbo-na-muziki/