Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka mfanya kazi muislamu asiyeswali msikitini?

Jibu: Haijuzu kuweka mfanya kazi asiyeswali msikitini. Huku ni kushirikiana katika madhambi na uadui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-20.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2015