Swali: Kuna maeneo ya utalii maarufu yanayojulikana kuwa na maji ya afya na maeneo hayo yamepewa jina la kaburi fulani. Je, inafaa kwetu kwenda maeneo hayo? Je, inafaa kwetu kununua maji hayo yanayouzwa kwa lengo la kujitibu?

Jibu: Ikiwa watu wana imani fulani juu ya maeneo hayo, basi haijuzu kwenda huko kwa sababu katika hali hiyo mtakuwa wenye kusapoti jambo hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 01/06/2023