Kwenda katika mji wa kikafiri kuwafuata wazazi

Swali: Je, inajuzu kusafiri kwenda katika mji wa kikafiri kwa ajili ya kuwatendea wema wazazi walioko huko?

Jibu: Ikiwa wanakuhitajia, ni sawa. Safari, uwatendee wema na uwahudumie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (55) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-11-10.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020