Swali: Ni ipi hukumu ya kuitwa kwa majina ya madhalimu; kama Fir´awn, Haamaan na Qaaruun?

Jibu: Imechukizwa kuitwa kwa majina kama Fir´awn, Haamaan n.k. Imechukizwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (56) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-12-30.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020