Swali: Ni sababu ipi na ni kwa nini nyama ya ngamia inachengua wudhuu´?
Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa salla) ameamrisha wudhuu´ kwa yule mwenye kula nyama ya ngamia. Sio lazima kwetu kujua hekima au sababu. Hili sio lazima. Sisi tunatekeleza maamrisho ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa salla) hata kama hatujui.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13385
- Imechapishwa: 24/06/2020
Swali: Ni sababu ipi na ni kwa nini nyama ya ngamia inachengua wudhuu´?
Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa salla) ameamrisha wudhuu´ kwa yule mwenye kula nyama ya ngamia. Sio lazima kwetu kujua hekima au sababu. Hili sio lazima. Sisi tunatekeleza maamrisho ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa salla) hata kama hatujui.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13385
Imechapishwa: 24/06/2020
https://firqatunnajia.com/kwanini-nyama-ya-ngamia-inachengua-wudhuu/