Swali: Tumesikia kuwa umejirudi juu ya kumkufurisha mwenye kutumbukia kwenye shirki kubwa kama kuomba uokozi kwa maiti na umeshurutisha kusimamisha hoja juu ya kupewa udhuru kwa ajili ya ujinga. Je, hili ni sahihi?
Jibu: Maneno haya ni batili. Huku ni kunisemea uongo. Sintorejea – Allaah akitaka – juu ya kumkufurisha mshirikina na kafiri. Sirejei juu ya hilo kwa sababu huku ni kurejea kutokamana na haki.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13385
- Imechapishwa: 24/06/2020
Swali: Tumesikia kuwa umejirudi juu ya kumkufurisha mwenye kutumbukia kwenye shirki kubwa kama kuomba uokozi kwa maiti na umeshurutisha kusimamisha hoja juu ya kupewa udhuru kwa ajili ya ujinga. Je, hili ni sahihi?
Jibu: Maneno haya ni batili. Huku ni kunisemea uongo. Sintorejea – Allaah akitaka – juu ya kumkufurisha mshirikina na kafiri. Sirejei juu ya hilo kwa sababu huku ni kurejea kutokamana na haki.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13385
Imechapishwa: 24/06/2020
https://firqatunnajia.com/ni-kweli-al-fawzaan-anapawa-udhuru-washirikina/