Swawm ya nabii Daawuud ikikutana na ijumaa

Swali: Ikiwa nafunga siku moja na nala ya kufuata siku yangu ikikutana na siku ya Ijumaa inajuzu kwangu kufunga?

Jibu: Ndio. Kimechokatazwa ni kuipwekesha Ijumaa. Ama ikiwa unafunga kwa kufuata nidhamu yangu uliyoizowea ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13385
  • Imechapishwa: 24/06/2020