Nasaha kwa waliopewa mtihani kuwaangalia wanawake

Swali: Ni ipi nasaha yako kwa mtu aliyepewa mtihani wa kuwaangalia wanawake wasiokuwa Mahaarim zake?

Jibu: Atubu kwa Allaah:

قُل لِّلْمُؤْمِنِينَ يَغُضُّوا مِنْ أَبْصَارِهِمْ وَيَحْفَظُوا فُرُوجَهُمْ

“Waambie waumini wanaume wainamishe macho yao na wahifadhi tupu zao.” (24:30)

Hili ndilo ambalo Allaah amekuamrisha; usiwatazame wanawake na usiwakodolee macho wanawake. Hili ni haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13385
  • Imechapishwa: 24/06/2020