Swali: Katika Hadiyth kumekusanywa kati ya kushindwa na uvivu, ubakhili na utuuzima.
Jibu: Yote haya ni maradhi. Kushindwa kunaweza ikawa ni kisaikolojia, sababu nyenginezo au kutokana na uvivu. Kwa ajili hiyo mtu amwombe kinga Mola wake kutokana na yote hayo. Vivyo hivyo kutokana na ubakhili na uvivu vyote hivo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23133/لماذا-قرن-العجز-والكسل-مع-البخل-والهرم
- Imechapishwa: 09/11/2023
Swali: Katika Hadiyth kumekusanywa kati ya kushindwa na uvivu, ubakhili na utuuzima.
Jibu: Yote haya ni maradhi. Kushindwa kunaweza ikawa ni kisaikolojia, sababu nyenginezo au kutokana na uvivu. Kwa ajili hiyo mtu amwombe kinga Mola wake kutokana na yote hayo. Vivyo hivyo kutokana na ubakhili na uvivu vyote hivo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23133/لماذا-قرن-العجز-والكسل-مع-البخل-والهرم
Imechapishwa: 09/11/2023
https://firqatunnajia.com/kwanini-kushindwa-na-uvivu-kumeambatanishwa-na-ubakhili-na-uzee/