Hapa ndipo inaanza du´aa ya safari

Swali: Ni lini inaanza du´aa ya safari? Inaanza wakati wa kutoka katika mji au pale anapopanda gari?

Jibu: Kutokea nyumbani au shambani kwake pale anapopanda.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23131/متى-يبدا-دعاء-السفر
  • Imechapishwa: 09/11/2023