Kwanini hamsomi Basmalah kwa sauti ya juu?

Swali: Basmalah ni Aayah katika Suurah al-Faatihah. Ni kwa nini hatuisomi kwa sauti ya juu katika swalah?

Jibu: Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuwa anaisoma kwa sauti ya juu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alfawzan.af.org.sa/ar/node/18413
  • Imechapishwa: 04/10/2021