Swali: Je, akufurishwe anayejikakama kupindisha maana ya kuonekana kwa Allaah?

Jibu: Anayepinga anakufuru. Anayepinga kuonekana kwa Allaah Peponi anakufuru. Kwa sababu anamkadhibisha Allaah.

Swali: Vipi ikiwa anapindisha maana?

Jibu: Ikiwa kupindisha kwake maana kunafahamisha kupinga amekufuru.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22750/حكم-تاويل-روية-الله-في-الجنة
  • Imechapishwa: 17/08/2023