Kwa sababu hii mwanamke apewe mirathi sawa na mwanaume

Swali: Mlinganizi mmoja Ulaya anasema kuwa namna ya kugawa mirathi kunatakiwa kuangaliwa tena vizuri kwa hoja kwamba mwanamke hii leo anatafuta kama mwanaume na hivyo haitakiwi kubaki katika ule mgawanyo wa zamani…

Jibu: Tunamuomba Allaah usalama. Anapingana na Allaah? Maneno haya ni ya khatari. Ni maneno khatari.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
  • Imechapishwa: 29/09/2023