Swali: Vipi kuhusu kuweka msahafu juu ya ardhi?

Jibu: Hapana vibaya wakati wa haja pasi na kuwa na lengo la kuudharau. Ikiwa hana kiti hakuna dhambi kwake. Hakuna vibaya.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23087/حكم-وضع-المصحف-على-الارض
  • Imechapishwa: 28/10/2023