Kuwavalisha wasichana ambao hawajabaleghe suruwali

Swali: Umetangulia kusema juu ya kuvaa suruwali kwa wanaume na wanawake. Ni yapi maoni yako juu ya wale wanaochukulia usahali kuwavalisha wasichana wadogo suruwali na mavazi ya uchiuchi kwa hoja ya kwamba hajabaleghe…

Jibu: Hapana. Haijuzu kufanya hivi. Msichana asilelewe juu ya kuwa uchiuchi na kutokuwa na hayaa. Asilelewe juu ya haya. Alelewe juu ya heshima na mavazi ya kusitiri. Vinginevyo atazowea haya na kukulia juu yake. Haijuzu kuchukulia sahali hili na kusema huyu bado ni mdogo. Mtoto mdogo anahitajia malezi na kuzowezwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%203-12-08-1433.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015