Swali: Ikiwa kile kitedo cha kuunga udugu na ndugu zangu kinawafanya wao kufanya maovu mbele yangu na hawaachi pindi ninapowakataza nina dhambi endapo sintounga nao kizazi?

Jibu: Kuhusu kuunga nao kizazi unga nao na usiwaache. Lakini endapo hawatokubali nasaha na kuacha maovu usikae nao. Ama kuhusu kuunga nao kizazi fanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%204-13-08-1433.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015