Swali: Naomba unipe nasaha kwa kuwa mimi ni mdhaifu wa kuamrisha mema na kukataza maovu?

Jibu: Nasaha fanya lile unaloliweza katika kuamrisha mema na kukataza maovu angalau hata kwa moyo wake. Hii ndio daraja ya mwisho.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%203-12-08-1433.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015