Swali: Ni ipi hukumu ya kuwaua wadudu kwa kutumia kifaa cha umeme?

Jibu: Huku ni kuua kwa moto. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kuua kwa moto.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 08/12/2023