Kuwapigia simu ndugu kunatosheleza?

Swali: Inatosheleza kwa mtu kuwapigia simu ndugu pasi na kuwatembelea ijapokuwa watakuwa katika mji mmoja?

Jibu: Hapana. Ikiwa unaweza kwenda kuwatembelea ndio asli. Ikiwa huwezi, basi angalau kwa uchache wapigie simu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir%20ayat-03-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020