Swali: Vipi mtu kuitwa kwa majina ya wanyama kama vile ´Iyaadhw bin Himaar?

Jibu: Hii ni miongoni mwa desturi ya waarabu katika kipindi kabla ya kuja Uislamu. Walikuwa wakiitwa kwa majina kama Himaar na Jahsh. Wako waarabu hii leo wanaitwa Jahsh, Himaar na Thawr. Lakini bora mtu asijiite kwa majina ya wanyama.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22337/حكم-تسمية-البشر-باسماء-الحيوانات
  • Imechapishwa: 10/02/2023