Swali: Je, inajuzu kuwanasihi watawala na wanachuoni kwa njia ya intaneti au kufanya hivo kuna kudhihirisha kosa hadharani?
Jibu: Kwa kiasi cha manufaa na madhara. Je, kuwaandikia kwa njia ya intaneti inawafikia wahusika? Sijui hili. Ukiwa na nasaha kwa watawala au wanachuoni wasiliana nao wao ima moja kwa moja kwa kuzungumza nao, kuwaandikia au kwa kuwasiliana na ambaye anaweza kuwafikishia nasaha hiyo.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Je, inajuzu kuwanasihi watawala na wanachuoni kwa njia ya intaneti au kufanya hivo kuna kudhihirisha kosa hadharani?
Jibu: Kwa kiasi cha manufaa na madhara. Je, kuwaandikia kwa njia ya intaneti inawafikia wahusika? Sijui hili. Ukiwa na nasaha kwa watawala au wanachuoni wasiliana nao wao ima moja kwa moja kwa kuzungumza nao, kuwaandikia au kwa kuwasiliana na ambaye anaweza kuwafikishia nasaha hiyo.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuwanasihi-viongozi-kwa-njia-ya-intaneti/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)