Swali: Je, inajuzu kuwanasihi watawala na wanachuoni kwa njia ya intaneti au kufanya hivo kuna kudhihirisha kosa hadharani?

Jibu: Kwa kiasi cha manufaa na madhara. Je, kuwaandikia kwa njia ya intaneti inawafikia wahusika? Sijui hili. Ukiwa na nasaha kwa watawala au wanachuoni wasiliana nao wao ima moja kwa moja kwa kuzungumza nao, kuwaandikia au kwa kuwasiliana na ambaye anaweza kuwafikishia nasaha hiyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020