Swali: Kuna wanaosema kuwa wamemuona Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na baada ya hapo anaenda kuwakhabarisha watu kuwa amemuona na kwamba amesema kadhaa na kadhaa. Je, wasadikishwe katika haya?
Jibu: Kuhusiana na kuwakhabrisha maamrisho na makatazo haijuzu. Baada ya kufa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuna maamrisho na makatazo. Maamrisho na makatazo yamo katika Qur-aan na Sunnah peke yake. Ama ndoto hakuthibiti kwayo amrisho wala katazo kwa hali yoyote. Asiwakhabarishe watu hili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (08) http://alfawzan.af.org.sa/node/2123
- Imechapishwa: 05/07/2020
Swali: Kuna wanaosema kuwa wamemuona Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na baada ya hapo anaenda kuwakhabarisha watu kuwa amemuona na kwamba amesema kadhaa na kadhaa. Je, wasadikishwe katika haya?
Jibu: Kuhusiana na kuwakhabrisha maamrisho na makatazo haijuzu. Baada ya kufa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuna maamrisho na makatazo. Maamrisho na makatazo yamo katika Qur-aan na Sunnah peke yake. Ama ndoto hakuthibiti kwayo amrisho wala katazo kwa hali yoyote. Asiwakhabarishe watu hili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (08) http://alfawzan.af.org.sa/node/2123
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/kuwakhabarisha-watu-maamrisho-na-makatazo-ya-ndoto-%e2%80%82/