Swali: Kuna wajihi gani mwanamke kufananishwa na mvulana anayekaribia baleghe (الأمْرَد)?
Jibu: Kwa sababu mwanamke hutamaniwa na huyo mvulana hutamaniwa. Baadhi ya watu wanaweza kuwatamani zaidi wavulana wanaokurubia baleghe. Mfano wa watu wa Luutw. Watu wa Luutw waliwaacha wanawake na wakawaelekea vijana wanaokaribia baleghe mpaka Allaah akawaadhibu kwa ardhi kudidimia.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21917/ما-حكم-النظر-الى-الامرد
- Imechapishwa: 01/10/2022
Swali: Kuna wajihi gani mwanamke kufananishwa na mvulana anayekaribia baleghe (الأمْرَد)?
Jibu: Kwa sababu mwanamke hutamaniwa na huyo mvulana hutamaniwa. Baadhi ya watu wanaweza kuwatamani zaidi wavulana wanaokurubia baleghe. Mfano wa watu wa Luutw. Watu wa Luutw waliwaacha wanawake na wakawaelekea vijana wanaokaribia baleghe mpaka Allaah akawaadhibu kwa ardhi kudidimia.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21917/ما-حكم-النظر-الى-الامرد
Imechapishwa: 01/10/2022
https://firqatunnajia.com/kuwaangalia-vijana-wanaokaribia-baleghe/