Swali: Katika baadhi ya miji ya Afrika inasemekana kuwa bado kuna watumwa. Mambo yakiwa ni hivo, mtu anaweza kuwanunua watumwa hawa na kuwaacha huru kwa lengo la kutoa kafara?
Jibu: Ikiwa watumwa hawa kweli wanamilikiwa na wanawauza na kuwanunua, inafaa kuyafanyia kazi. Hakuna tunachoangalia isipokuwa kinachodhihiri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
- Imechapishwa: 19/07/2024
Swali: Katika baadhi ya miji ya Afrika inasemekana kuwa bado kuna watumwa. Mambo yakiwa ni hivo, mtu anaweza kuwanunua watumwa hawa na kuwaacha huru kwa lengo la kutoa kafara?
Jibu: Ikiwa watumwa hawa kweli wanamilikiwa na wanawauza na kuwanunua, inafaa kuyafanyia kazi. Hakuna tunachoangalia isipokuwa kinachodhihiri.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
Imechapishwa: 19/07/2024
https://firqatunnajia.com/kuwaacha-huru-watumwa-wa-kiafrika/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket