Kuvua viatu na kuinama wakati wa kumsalimia mtu

Swali: Je, katika Uislamu pindi mmoja anapomsalimia ndugu yake inafaa kwake kumuinamia kwa kumuadhimisha au akavua viatu vyake na akamuinamia kwa kumuadhimisha? Yote haya ni katika desturi ya mababu zetu.

Jibu: Haijuzu kuinama wakati wa kusalimia na kuvua viatu kwa ajili yake.

  • Mhusika: al-Najnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Najnah ad-Daaimah (01/147)
  • Imechapishwa: 06/10/2020